Siamini

Siamini

Nasaka funds na racks nitoke block Landi amejam nyumba yangu akalock Ali kwa casket alikick bucket Pneumonia ilicome ikamwacha life less If life was a circle mbona huwezi recycle You gotta take note na itabidi usome bible Read you bible uwache kuwa idle Pray every day akutoe kwa ma scandals Jah jah bless me nikuhectic Nina pigwa chenga hapa mambo ni horrific Nasaka title na gari automatic Ju hii baridi itaniacha asmatic Jah jah bless me nikuhectic Nina pigwa chenga hapa mambo ni horrific Nasaka title na gari automatic Ju hii baridi itaniacha asmatic Ungekuwa around ningekuona Sijui mbona ulitoka na hata hatukuwa tumemaliza kusoma Ei yeeh eeh Ata siami siamini Hata siamini siamini Si lipi si lipi si lipi hiyo loan joh si lipi Siko sleepy tangu uende missing Niko na wazing na ni Ali ako missing Si rahisi kubelieve inakaa deceiving Life imekuwa ngumu sina shillings Imenifinyia kwa corner Nimekonda kwani niko shakahola Nasaka dollar ni buy ata donat Vigogo hawafai itabidi tumeformat Ngoja ngoja idha inasonga songa I wanna get rich like a king sio soldier Nasaka dollar ni buy ata donat Vigogo hawafai itabidi tumeformat Ngoja ngoja idha inasonga songa I wanna get rich like a king sio soldier Ungekuwa around ningekuona Sijui mbona ulitoka na hata hatukuwa tumemaliza kusoma Ei yeeh eeh Ata siami siamini Hata siamini siamini

Siamini

Kaspa_K · 1733068800000

1

Kaspa_K的其他专辑