Nishike

Nishike

Bang it over mi napenda ukibend over Toto fine sweet ntakabeba na kirover Na aki wine anajua take it over Kusuka suka kwanza adi adhani ni Passover Mi nimedata msupa nimepata Niko Langata na ni nyama nina ngata Mi naskia poa kumechacha Na ni for real ju ni mimi anataka She's a fashion killer she de speak latin-a Niko Paris mi nadai kuririma Mi si Riggy G nitaguza murima Niko kwa gate ninadai kukulima She's a fashion killer she de speak latin-a Niko Paris mi nadai kuririma Mi si Riggy G nitaguza murima Niko kwa gate ninadai kukulima Ebu nishike kidogo nifurahie ooh my Tena mi sisemi uongo kwako nimebahatika Ebu nishike kidogo nifurahie ooh my Tena mi sisemi uongo kwako nimebahatika Ooh babe Mtoto Mali safi akianani Zaidi unanipa raha na burudani Nawatangazia oooh no hata kipi kifanyike yeye ndio my dear Sina maradhi ya moyo Toka nikupate mie Nimetulia Nikikuambia nakupenda sifanyi utani We ndio superwoman mi ndo baby daddy Moyo wangu ushauteka hata sipingani Wee ndio number moja nishaweka wazi Ebu nishike kidogo nifurahie ooh my Tena mi sisemi uongo kwako nimebahatika (my baby boo we ndio vanilla sweet vanilla in My papito wangu hodari hodari) Ebu nishike kidogo nifurahie ooh my Tena mi sisemi uongo kwako nimebahatika

Nishike

Kaspa_K · 1734624000000

1

Kaspa_K的其他专辑