Madrama Za Kanairo

Madrama Za Kanairo

Kuna siku nilikuwa - natulia Baby gal aka- nipigia Akasema amepata gari - anapitia Nikatoka kwangu ka nakimbia Nikafika kwa mathe kushika beer But babygirl anataka tu bajia Nikashika mbili tatu nikampigia Akasema "Babe ata I'm here" Woi niko kwa Caro, namdandia Akisema wololowololo namwachilia Caro si sura pekee akona ass pia But ule babe anapitia is a top-tier Cynthia, alikuwa ananiringia But sai ni " babe, hii uber utanilipia?" "Na nails pia, na wig utaninunulia?" "Aaaiii babe, nani huyo unapandia?" Kumbe sijakata simu so ameniskia Akaanza kunililia, "kwani unanipima?" Nkt nkt, nikaclick kaa mara mia Nika kata simu, nikaanza kufikiria nth nth nth nth nth nth nth nth waah Nyash ikanipita, nikafuata mama sita Nikamshika, kumbe ni shakila but ni vanilla Dem anasema ametoka, Manilla Kumbe bleach inafanya , anameta meta Kwa shingo, ye ni mdark like a sudi nigga Maringo, juu babygirl anadai ye ni diva Mhhh cap cap na si kwa kichwa Kwela alikuwa kiriba, nikajikata Akaanza kunitafuta but nilimhepa Nikapiga msee ngeta, kangepa Nikapiga luku smart, nikajirembesha Nikashika mashada nikienda kwa Regina Kufika kwake, akasema "nanyesha" Mscheeew (Bomboclat), nikatoka kama nimebonda Kurudi kwangu Napata, Michelle ananingoja Mkono moja ni gin, hio ingine vodka Nikashangaa, kwani sikuhizi hatuchase na soda? Tunazimix kama veney metro humix ngoma Na 4:20 ikifika tunawasha shada (Tunachoma shada) Nikujibamba, hakuna story za madrama So tukaanza, mashots tu ndio tunachapa Na kwa mlango tukaskia (3 knocks) fungueni hapa! Tumebambwa, ni blanda, hatuwezi hepa Na macho zetu zimenyanya, ni ngori tena Hatujui kaa ni njege ama tu ni neighbors So tuka opt kukachungulia Kumbe ni Ian Nkt Nkt Nkt Kumbe ni Ian

Madrama Za Kanairo

Xensei · 1739376000000

Xensei的其他专辑