Yoh Naskia fiti manze Na unajua niaje Sidai story ya fitina Naskia fiti na Story ya fitina Leo naskia fiti na Sidai mambo ya Fitina Kila Bill nilisha lipa Na bado nina mkwanja nina kitita Leo naskia fiti na Sidai mambo ya Fitina So Kaa kuna drinks zikam Mbili mbili vile inafaa Leo ni ile siku ya ku feel good Tom Daktari amesema tujitibu So Mami achilia kitambi tu haribu Baada ya dishi ni makali na zabibu Kata maji tuki puliza mawingu Summer bunny anaka lupita mchinku Haina worry juu miwani zina tint True Zimekashi ka afisa na mapingu Kaa kuna fom nangoja uitoe nii Sign Niko on na siwezi patikana offside Piga Shot ni kaa umecheki OPP on sight Toa lock ni kaa unadai ku go inside Leo naskia fiti na Sidai mambo ya Fitina Kila Bill nilisha lipa Na bado nina mkwanja nina kitita Leo naskia fiti na Sidai mambo ya Fitina So Kaa kuna drinks zikam Mbili mbili vile inafaa Soft life maisha London... Innit More life bila kashfa... Innit Gold label ndani ya tumbler.. Innit Jose Cuevo ndani ya tumbler.. Innit Soft life maisha London... Innit More life bila kashfa... Innit Gold label ndani ya tumbler.. Innit Jose Cuevo ndani ya tumbler.. Innit Na niko timama, sina tialala Napiga shots ki babu Owino ndani ya bclub na Kila peng nimekaa kando amesimama Kila bet tuli gamble leo imeivana Hakuna weng naweka kando hizo drinks zikam Order Dre straight from Compton na ma rizzla Ni sherehe bila scandal wala hitilafu Niko genje bila mambo wala fitina. Leo naskia fiti na Sidai mambo ya Fitina Kila Bill nilisha lipa Na bado nina mkwanja nina kitita Leo naskia fiti na Sidai mambo ya Fitina So Kaa kuna drinks zikam Mbili mbili vile inafaa
Chris Kaiga的其他专辑
- 1724342400000
- 1701964800000
- 1643299200000
- 1639065600000
- 1636041600000