Vanity

Vanity

Ata mseme Niko down me huwasafisha ka duster Kama unaona na songa faster basi si uongeze shutter Bless brathe mkiwa kwa vaite mshkie jaba na aongezewe starter sir jah tuongeze baraka Unataka aje love na umepatiana talaka Unashinda ukiscroll scroll kuongeza dopamine na hupati answer Mnaombea mvua juu ni nyinyi tu mko na mashamba Instead ya kula vitu sisi tunapanda Tunaimport na vile man kumegadhaa Unaonea watu huruma me naona tu biashara Ju ni opportunity naingia ndani Nakusanya for my family Si wajali me Wee Lia hakuna kazi Mimi Niko na salary Mtoi Wangu asome Cambridge wewe endea bursary Hivyo ndo kuko Watu tunalook up to wanatuletea vituko Pass msokoto inapatie me msisimko Alafu anipate sansei adhani atanipa mshtuko Alimwai bare Kesho tunaona mwizi alishandwa kwa news za tuko Na watu behind all this wanasema wameachieve fusion Naona wameachieve confusion Na alot of pollution contradictions Jesus ndo the only solution Hii si rap tu ni a holy intuition. Knowledge napata from elohim ni mob than hizo Miaka zote nimewaste kwa institutions Tulipate aje Independence na nchi yetu dependant a foolish thing tunacelebrate on december Si jamhuri Kenya ni jina on paper na ikwekwa signature na muhuri ya queen siogopi kusema Tungeruliwa na Dedan Maybe vitu zingekuwa better But wale watu wazuri tu ndo waugenya Ata Nikose chance nina penya Atakaa ntasaka pesa ndo aziadd nasenya ashake hiyo aaah me lazma ni work ndo askie chenye nasema Kazi na kazi Ata kama umejipin ndenga Jah fill me with what I need nisikuwe beggar What I want ntaziwacha kwa earth na mbona nazipenda Ata Nikose chance me ntapenya Atakaa ntasaka pesa ndo aziadd nasenya ashake hiyo aaah me lazma ni work ndo askie chenye nasema Kazi na kazi Ata kama umejipin ndenga What I want ntaziwacha kwa earth na mbona nazipenda Uko brainwashed na unasema uko na facts Unasay more silence hufanya mtu akuwe sharp Hiyo knife itabidii umesunda unaipull aje out na Niko na strap Unapreach prosperity na easy life Life ni tafash hiyo ni cap Watu wanarule hii country for formality Instead walete development wanacause mischief Leader anachoosiwa na God mbona ni vote for nani atarule hii nchi Try as much usome kwa wingi Ndo ukuwe as much far more kuitwa illetrate Watu wanarun hii town ni a syndicate Alafu unategemea state Tembea na God Walk in the light si by might Zion ni this way Unawekwa chini utaangushwa hakuna time ya kufreeze It's s a cold world we living in Na pray for longevity Siskii what the government is telling me In no way are you helping me Knowledge si cheap kama huafford Harvard somea Udemy At this point ya crises tunaopt kuwa high na ulevi Ni escape reality Tena inabidii uifanye on the daily Ukipray things zikuwe better Mwingine anamake virus zingine deadly Ata Nikose chance nina penya Atakaa ntasaka pesa ndo aziadd nasenya ashake hiyo aaah me lazma ni work ndo askie chenye nasema Kazi na kazi Ata kama umejipin ndenga Jah fill me with what I need nisikuwe beggar What I want ntaziwacha kwa earth na mbona nazipenda Mbona Mimi nazipenda Vitu ntawacha kwa earth mbona Mimi nazipenda

Vanity

Windwings · 1676908800000

1