Street Girl

Street Girl

(Miki records) Ye, ni Davnooo uh ye ye ye eh (Deus made it) Si shimo moja na si mbili Ye anajirusha kwa wawili Hatosheki Huyu dame buda ako na wengi Leo ako na landlord kesho jirani Alafu baada ya siku mbili ananiita honey Tumenotice yeye sidhani Vile wanamuse adi hatumtaki Hana ubaguzi atakama ni youngin Bora uko fiti ama uko na mali Atapita nawe vile alifanya Jacky Bado anaprocess ii kitu ni funny Street girl na si chokora Street girl vile wanamchokora Street girl na si chokora Street girl vile wanamchokora Street girl na si chokora Street girl vile wanamchokora Street giiiirl na si chokora Street girl vile wanamchokora eh Ni mara mingi anaconfuse maguy na haringi Kwanza ukicheki hio thigh Aki grab bana huezi deny And now I understand it why she's giving I was a victim back in the day Kalia kiti nikupee yote Ukimwona we usipote Love yetu ilikua wonderful Akanichocha nikamchorea tattoo Akiskia njaa nazileta tu Kipesa Buda I was such a fool Love yetu ilikua wonderful Akanichocha nikamchorea tattoo Akiskia njaa nazileta tu Kipesa Buda I was such a fool Street girl na si chokora Street girl vile wanamchokora Street girl na si chokora Street girl vile wanamchokora Street girl na si chokora Street girl vile wanamchokora Street giiiirl na si chokora Street girl vile wanamchokora eh Nikaanza kunotice something is wrong Nikijaribu kumshow anatoa kathong What is wrong with this girl hanishow Vitu mingi si zangu kama hii T-sho Babe unareact mbona, unanidoubt ni wewe tu na mimi hao wengine ni clout Kumbe tuko wengi, ai joh Mimi sipendi (ati adi bro) Street girl na si chokora Street girl vile wanamchokora Street girl na si chokora Street girl vile wanamchokora Street girl na si chokora Street girl vile wanamchokora Street giiiirl na si chokora Street girl vile wanamchokora eh Na si chokora Vile wanamchokora Na si chokora Vile wanamchokora

Street Girl

Davno Clives · 1707408000000

1

Davno Clives的其他专辑