New beat Siamini shilingi inazamisha penzi Mi msafi nimekuwa mchafu Nmeishiwa tenzi Umenikatia vitunguu saba machoni mwangu Kweli unafanya ukahaba mbele yangu Mapenzi yanauma hivi Moyo kapuku jaza mema yangu Unasimulia tu mabaya yangu Maumivu yangu you don't know Si mahaba ndio kwenye pipa nliyajaza aah! Ila wewe unanitisha upendo wangu kuusambaza Umekuwa mkaidi, mkaidi wewe Umekuwa mkaidiii Penzi langu sifaidi, sifaidi Mimi Penzi langu sifaidiii Nmekoma kukuganda ganda Kukuganda ganda kukuganda ganda a Nmekoma kukuganda ganda Kukuganda Kukuganda ganda kukuganda ganda Kukuganda ganda Kwenye mapenzi hujanipiga lock Wacha niende mbele nikaforce Maumivu basi aaah! eeh! Japokuwa nilifall in love Mchana suka samaki siko kwenye nyavu Japo mwanzo nlifanya upumbavu uuh! Am still for another bless Another chance Another bless Nitapata mwingne Umekuwa mkaidi, mkaidi wewe Umekuwakaidi Penzi langu sifaidiii, sifaidi Mimi Penzi langu sifaidiii Nmekoma kukuganda ganda Kukuganda ganda kukuganda ganda Nimekoma kukuganda ganda Nmekoma kukuganda ganda Kukuganda ganda ganda.